SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zuchu Committed A Fitting & Wrong Accessory Crime
Judge Afro

Zuchu Committed A Fitting & Wrong Accessory Crime 

Zuchu anaonekana kuwa mpenzi wa fashion na tunavyo muona ni kwamba anajaribu ku-stand out kuwa tofauti na wengine, ukiangalia mavazi yake utajua kuna mtu ana mu-inspire na angependa kuwa kama yeye lakini kuna vitu anakosea.

Week hii tumeona akijaribu kuvaa oversized suit, kama mnakumbukumbu na oversized suit tulishawahi kumuona nayo Rihanna na Lady Gaga

Well kwa Zuchu tunaweza kusema hii trend angeiacha ipite, kwanza kabisa kimo chake hakiruhusu kuvaa hii trend.

Lakini pia kuna sehemu na sehemu za kuvaa baggy clothes, mfano kwenye matamasha ya mitindo au red carpets unaenda pale kuwa stylish na ku-stand out yeye alikuwa anakutana na mkuu wa mkoa, tungependa kumuona kwenye well fitted suit ambayo inaonyesha she mean business. Pia tungependa kujua hizi hereni ilikuwaje? last minute decision au what was the reason?

Oh well kuna wale ambao watasema lakini yupo Zanzibar, very true inawezekana alifikiria kujistiri, lakini angeweza kuvaa suruali ikiwa imemfit vizuri na coat huku coat likiwa refu kidogo, kama tunavyo muona Irada hapo chini.

Well tupe maoni yako kuhusu hili kupitia comment box yetu hapo chini

Related posts