Hawa wote ni wapenzi wazamani wa Chris Brown Mmoja akiwa mwanamitindo na mwingine mwanamuziki, imeonekana wakiwa wame tokelezea katika viatu vya aina moja Aquazzura Pom Pom sandals , ambapo Rihanna alivaa viatu hivi na gauni ya kijani

rihanna-nyc-molly-goddard-1 rihanna-nyc-molly-goddard-2

wakati kae yeye alivaa na born corn dress yenye rangi tofauti tofauti Je nani kavitendea haki viatu hivi?

2-Karrueche-Tran-out-in-Beverly-Hills-aquazzura-pom-pom-sandals-700x903 Karrueche-Tran-out-in-Beverly-Hills-aquazzura-pom-pom-sandals