Kilichopo katika trend kwa sasa mtaani ni kofia,kofia hizi zilivaliwa na mababu zetu toka miaka ya 1920, japo huwa hazipotei yaani uwaga zipo ila kuna kipindi huwa zinaibuka na watu kuzivaa sana
Hizi kofia zimekua zikivaliwa na watu mbali mbali kama Ne-yo, Pharell Williams na hata Chris Brown, kwa kwetu Tanzania sasa hivi ndio tunaanza kuona wasanii wetu wakizitinga mara kwa mara watu kama Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na Cyril Kamikaze wame onekana nazo katika occasion mbalimbali.
Cyril akiwa kavaa Floral Shirt na kofia yake ki beach party beach party
Ommy Dimpoz
Diamond Platnumz
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kinacho-kiki-kutoka-kwa-diamond-ommydimpoz-na-cyril-kamikaze/ […]