SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KOURTNEY KARDASHIAN VS KYLIE JENNER
Fashion Cop

KOURTNEY KARDASHIAN VS KYLIE JENNER 

Kourtney na Kylie ni mtu na mdogo wake walio share mama, ambapo Kourtney ni mkubwa wa kwanza na Kylie ni wa mwisho. Hawa wasichana wana sifika na mitindo yao sio mara ya kwanza katika Familia yao kuigiana kuvaa nguo au hata kuibiana nguo (well that’s what sisters are  for).

Na leo imeonekana mdogo kamuiga mkubwa Kourtney alivaa hili gauni katika hafla ya Gabrielle’s Angel Ball 2016 mwaka jana akiwa ame valia gauni hili katika rangi nyeusi

wakati Kylie yeye amelivaa mwaka huu katika hafla ya Marie Claire’s Image Maker Awards akiwa ame vaa kama two pieces yaani skirt na crop top ikiwa na rangi ya purple kutoka kwa mbunifu Balmain

Je dada yupi ame rock hii nguo best? Kylie au Kourtney tupe majibu yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts

2 Comments

  1. Psychedelic mushroom chocolate bars psychedelic mushroom chocolate bars effects

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kourtney-kardashian-vs-kylie-jenner/ […]

  2. shroomies edibles

    … [Trackback]

    […] Here you will find 78534 additional Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kourtney-kardashian-vs-kylie-jenner/ […]

Leave a Reply