SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KUTANA DENRELE EDUN GAGA WA KIUME KUTOKA NIGERIA
Fashion Cop

KUTANA DENRELE EDUN GAGA WA KIUME KUTOKA NIGERIA 

Denrele Edun ni Tv personality kutoka Nigeria ambae alikua¬†Germany,¬† his hustles are real maana kabla ya kuwa Tv personality alisha pitia vitu vingi kama uigizaji,modelling etc, ana julikana zaidi kwa style zake za mavazi…. linapo kuja swala la kuvaa he is crossing borders, ana weza akawa crazy and funky na hio ndio sababu tume mfananisha na Lady Gaga

See his shoes? kwa kweli kama kuna mtu ambae huwa tuna wonder how does he do it ni huyu? like anawezaje kuvaa hivyo viatu well we guess kila mtu ana kipaji chake alicho barikiwa nacho

 

kuna kina sie ambao hata a block middle heel hatuwezi kuvaa lakini look at Denrele Edun, kuna ule msemo tuna penda kusema being different kuna kufanya kila siku uonekane wa peke yako basi ndio hivi

Oh kama ulidhani Denrele ana vaa tu hizo teremka tuongee your dead wrong, ana vaa heels, lace up boots zenye kisigino kirefu etc

mwenyewe huwa ana ji crown as his self MCW & WCW na its suit him perfectly maana ana do both male and female cloth

the crazy cloth this man can pull of is out of this world.

je una maoni kuhusu muonekano wa huyu bwana cash us at

Instagram – Afroswagga

Facebook – Afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

How about dah?

Twitter

 

Related posts

6 Comments

 1. useful site

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

 2. the golden chocolate online

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

 3. see here

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

 4. look here

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

 5. buy benelli guns

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

 6. passive income platform

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/kutana-denrele-edun-gaga-wa-kiume-kutoka-nigeria/ […]

Leave a Reply