SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LAVIDO X FATEMA BLACK & WHITE CAPED BLAZER
Fashion Cop

LAVIDO X FATEMA BLACK & WHITE CAPED BLAZER 

Lavido ni Fashionista kutoka Tanzania wakati Justfateema ni Fashionista kutoka Kuwait, watu husema Fashion hutuunganisha pamoja ni kweli japo hawa watu wako mbali ila mapenzi yao katika mitindo ime waunganisha pamoja kwa kuonekana wakiwa wame valia hii zebra caped blazer

just Fatema alivaa hii blazer na black outfit, ambapo suruali yake ina ruffle chini ame match blazer na clutch huku akiwa ame malizia mtoko wake na silver pumps, hijab na bold red lipstickk

15043785_1683802271880483_712777009914183680_n

Wakati Lavidoz alivaa blazer hii na white outfit, wide legs pant, black pumps akamalizia muonekano wake na statement choker na simple make up

14726225_365899057084651_7550310454896099328_n

ume penda style ipi? Lavidos au justfatema

tuambie

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts