SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lavie Makeup Vs Sanch In Elisha Red Label Statement Dress
Fashion Cop

Lavie Makeup Vs Sanch In Elisha Red Label Statement Dress 

Another Furaaaahi Day, Another Friday Fashion Battle Field, Leo tunae makeup artist Lavie Makeup na mwanamitindo Sanch ( Surraiya) wote wawili wakiwa wamevalia statement dress kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label.

Wa kwanza kumuona katika gauni hili alikuwa mwanamitindo Sanch ( Surraiya) ambae yeye alivaa in sequin black and gold fabric. Na Juzi tumemuona Makeup Artist akiwa kwenye gauni la mtindo huo huo unaofanana na Sanch tofauti ni kwamba lake ni rangi ya gold

as usual we had to ask who rocked it better?

Related posts