Linapo kuja swala la mitindo ni kwamba huwezi ku hisi una chako peke yako au wewe ndio una jicho kali zaidi ya mweingine hapana, na hii ndio sababu mara nyingi tuna kutana na watu wame vaa sare sare bila hata ya wao kupanga au kujua kwamba wame vaa sare.

Week hii tume kutana na Muigizaji Elizabeth Michael akiwa ame vaa a black button up body corn dress ambayo alipendeza nayo mno, with short hair & fleek makeup to make it perfect

Lulu Is A Poser

Lakini pia tukakutana na mwanamuziki Dayna Nyange akiwa amevalia Gauni linalo taka kuendana sawa na alilo livaa Lulu lakini kwake lkiwa la cream, akiwa ame sukia faux lock braids na every on point make up to complete her look. Pia ame add accessory cheni na pete in which kwetu tumeona hazikuwa na ulazima

Dayna serving us face

Je yupi ume mpenda zaidi? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz