SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lulu Diva Vs Director Joan In Blue Body-corn Dress
Fashion Cop

Lulu Diva Vs Director Joan In Blue Body-corn Dress 

Yes tunajua its been a while toka tuandike kitu kwenye segment yetu ya #afrofashionbattlefield lakini msijali tumerudi na tutakuwa tunawekea hapa kila mtu maarufu ambae tumem-spot amevaa sare na mwenzie. Hii si kwa ubaya kwa watu wawili kupenda vazi moja ni kujua tu nani ame-listyle vyema na mwingine amekosea wapi.

Leo tuna mfanyabiashara maarufu Director Joan na mwanamuziki wa kizazi kipya Lulu Diva wote wawili tumewaona wakiwa wamevalia hii bodycorn dress waswahili huwa tunaziita povu.

Director Joan yeye alivaa hii dress na pumps za rangi yadark blue, sleek hair akamalizia na red lipstick na accessories ndogondogo huku Lulu Diva yeye alivaa hii gauni na viatu vyekundu na wig ambayo ime match na viatu.

Well tuambie ni nani umependa alivyo style gauni hii kati ya wote wawili? Director Joan au Lulu Diva?

Related posts