SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mama Diamond Platnumz Great Gatsby Birthday Theme Review
Fashion Cop

Mama Diamond Platnumz Great Gatsby Birthday Theme Review 

Watu wote macho yetu yalikuwa kwenye hii birthday ya Mama Diamond Platnumz na mkwewe Tanasha Donna, wakati wengine walikuwa wakisubiri kujua kuna jambo kubwa gani usiku huu, sisi wengine tulikuwa tunasubiri kuona fashion ambapo theme iliyoandaliwa ni The Great Gatsby.

Tunajaribu kuandika hii review as calm as possible, kitu ambacho tunaweza kusema ni kwamba kama unaona Theme itakushinda hata wewe muandaaji basi vyema tuendelee na theme zetu za black tie, all white theme, Nigerian theme etc.

Tuanze na wale ambao walijaribu

Mwanamitindo Jihan Dimac in white Mac Couture Dress, Jihad did that she slayed the theme effortlessly, amevaa rangi ambayo ilitajwa kuwa ndio moja ya theme colors, we have a thigh chain, kama mpenzi wa movie utagundua movie za zamani watu wengi walikuwa wakizivaa hizi chain hapo pajani, we love the fit, the extra cape to make it look not too 20’s was just perfect.

Tulikuwa na muigizaji Irene Paul, yeye alivaa rangi nje kidogo na zilizotajwa lakini she was perfect for The Great Gatsby Theme, her burgundy dress by @la_moda_designs , the pearl accessories, natural hair poping she nailed it.

Queen Darleen alivalishwa na Martin Kadinda, lets say jana Queen alichagua mtu perfect wa kumvalisha she was right on theme without even trying. Make up on point, accessories and details perfect, the dress imemfit perfect. She gave us Gatsby.

Hawa watatu kwetu sisi walifanya vizuri zaidi, twende kwa wale ambao walichukua theme na kui-drag all the way to the cemetery.

Birthday girls Mama Diamond Platnumz alivaa hii tulle red dress, (yes red) na theme ilikuwa white, gold na black. We don’t know where in the red blood cell hii nyekundu ilitokea but here it is ikiwa imevaliwa na muhusika we event. We have alot to say but let us be nice and say “She could have just stay home, period.”

Tanasha Donna, so Tanasha amesema ana birth certificate ya British, and well we have Sara kwenye hii familia ambae yeye ni mzungu. Kiukweli tulidhani watakaa pamoja waka-discuss na kutuletea kitu cha maana but tulichopata ni “Kai,God Who is the fashion angel did we offend?”

the only thing is Gatsby in her outfit is the Jewelries, kwa kaka Diamond he did the fashion community justice.

Rosa Ree yoyote aliyemchomeka hizo feathers za tausi kichwani wont see the heaven door. Kwa vilivyobaki ni Gatsby lakini vilishindwa kupangiliwa vizuri, there is alot going, fur, beads, see through, clear lace up boots, the idea was there ila kuileta kwenye reality ikashindikana.

Lil Ommy serving us papa wemba Gatsby.

Rommy & mkewe going to a royal funeral

Lady Jay Dee practicing her song tittle in real life “I DONT CARE”

Mkubwa Fella na mkewe hatujui kama walisikia vizuri ilikuwa birthday party ambayo wana reveal na ujauzito wa Tanasha au walisikia ni maulid ya mtoto wa Diamond

so lets wrap it up kwa kusema everything was good but the fashion.

Related posts