SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MASHUKA YA KIMASAI YATAMBA FIESTA ARUSHA 2016
Fashion Cop

MASHUKA YA KIMASAI YATAMBA FIESTA ARUSHA 2016 

Fiesta ya mwaka huu ime kua na muhamko sana upande wa fashion, wasanii wengi walitangaza kuvalishwa na wabunifu mbali mbali katika msimu huu wa Fiesta 2016, week iliyo pita Fiesta ilikua kanda ya kaskazini Arusha na ambapo Shuka la kimasai lilionekana kuwa ndio signature look ya siku hio mkoani humo.

Wasanii mbali mbali walivaa shuka hili jukwaani

Ben pol alivalishwa na mbunifu mgomberwa alivaa shuka la kimasai kiunoni kama skirt, akafungwa usongo wa kimasai, belt hii ilikua muhimu ili kuzuia shuka lisianguke, Sijajua kuhusu gloves kama ben alipanda na pikipiki jukwaani, tume penda the idea kwa sababu Arusha ni sehemu ambapo wana dumisha Mila na Desturi zao lakini huo usongo na Gloves mmh its a No

14449317_1791209891148879_6302198868553498624_n 14482979_1167691419965530_333852274684067840_n

Hio Skirt inaitwa  Tartan ambalo ni vazi linalo tambulika sana scotland

Kilts

Feza Kessy

14533693_303570206684179_1672786111346245632_n

Chalii wa jambo hawa mara nyingi hupanda katika majukwaa na mavazi haya, wame style kama wamasai in which tume penda

14478420_857396264390882_7040960125665804288_n

Related posts