SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maua Sama Arudi Hatua Kumi Nyuma Na Hii Outfit
Fashion Cop

Maua Sama Arudi Hatua Kumi Nyuma Na Hii Outfit 

Kwa hapa kwetu Tanzania imekuwa kawaida ya watu maarufu kuboronga hasa kwenye mitindo huwa hawakai sawa utamsifia leo kesho anakuja na bomu lingine kabisa, ukaweza kujiuliza imekuaje? hii imeonekana kwa Maua Sama pia ambae last week aliachia picha mpya na mionekano mipya wengi walimsifia pamoja na sisi tulikubali.

Wahenga walisema “Mgema akisifiwa tembo hutia maji” hiki ndicho kilicho tokea kwa Maua Sama amelewa sifa akaamua ajaribu zaidi na mwishoe kuharibu kabisa,Japo tunaona style za zamani zinarudi kwenye chat lakini hatuja fikia bado kurudi huku, Maua ame rudi early 70’s ambazo hajajaribu hata kuedit.

Zile enzi za satini, ming’ao na rayzon

Kwa hii outfit Maua anaweza ku-fit kabisa katika hizo band za zamani hapo juu, amevaa a cheap satin trouser, top ya kijani yenye glitters akaja kumalizia na heels ambazo we can say zimepitwa na wakati lakini alipo kuja kutu confuse kabisa ni kuchagua blonde wig ambalo aliliachia tu hakuli-style.

 

Maua amemalizia outfit yake na miwani na gold belt. tuseme tu katika hii outfit tumependa vitu vitatu tu na pia avikivaliwa separately, miwani, belt na top.. we wish angechagua suruali nyingine na viatu vingine ingemake sence kwetu lakini with this outfit Maua played her self.

Tupe maoni yako kuhusu hii outfit kwako wewe umeionaje?

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเติมถอนทรูวอเลท

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/maua-sama-arudi-hatua-kumi-nyuma-na-hii-outfit/ […]

  2. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/maua-sama-arudi-hatua-kumi-nyuma-na-hii-outfit/ […]

Comments are closed.