SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA CELEBRITY WETU WEEKEND HII
Fashion Cop

MITOKO YA CELEBRITY WETU WEEKEND HII 

Weekend Hii kulikua na events mbali mbali, kuna matuzo na ma party ya mwisho wa wiki, kama ilivyo kawaida ya watu wetu maarufu huwa hawatunyimagi kutuonyesha mitoko yao na hizi ndizo chache kati ya nyingi zilizo tuvutia kutoka kwao

idris

Idris Sultan katika Suit ya nyeusi na Dhahabu alipendeza mno

index

Daxx Criuz na Luis Munana Pia Walitokelezea katika Blue suits

jojo

Jokate Mwegelo ndani ya purple dress simple yet elegant

kajala

Njano na nyeusi kutoka kwa kajala, amependeza mno na hii rangi

ladiva

Millen Magese kawaida yake huwa akosei

lulu

Lulu Michael ndani ya kigauni cheupe simple

 

rio x martin

Rio tumependa koti lake akiwa pamoja na Martin Kadinda

Related posts

Leave a Reply