Anaitwa Ester lakini kwa wengi tunamjua kama Chagga Empress ni jina analo litumia huko Instagram (@chaggaempress), Ester ni mtanzania anae ishi marekani ambae tulianza kumjua baada ya kuwa kimahusiano na Prezzo na sasa inasemekana yupo na Nay wa mitego. Ester ni mwanadada anae penda mitindo na mtu anae mu Inspire mara kwa mara ni Nicki Minaj na ndio msanii wake anae mpenda, japo mitindo yake hutoka watu mbali mbali kama KimKardashian, Jeniffer Lopez, Nicki Minaj, Beyonce Na Kadhalika, Angalia baadhi ya mitoko yake iliyo endana na mastaa hao.
Jlo Vs chagga
Chagga na Kim kardashia
Chagga Vs Meagan Good
Chagga na Nicki
Chagga X Beyonce
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 96572 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/mtanzania-anae-kimbizana-fashion-na-mastaa-wa-ulaya/ […]