SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MTOKO WA HAMISA MOBETTO KATIKA TUZO ZA ASFA 2016
Fashion Cop

MTOKO WA HAMISA MOBETTO KATIKA TUZO ZA ASFA 2016 

Abryanz Style And Fashion Awards zime fanyika usiku wa kuamkia leo ambapo nominees kutoka Tanzania walikuwa wengi mno na tume fanikiwa kuondoka na Tuzo 8. Hongera kwa washindi wote, wengi hawakufika so walichukuliwa tuzo zao na walio fika lakini katika walio fika alikuwepo Tanzanian PrideĀ  Hamisa Mobetto ambae wengi wetu jicho lilikua kwake kuona atavaa nini na ata pendezaje? we all know Hamisa huwa harembi linapo kuja swala la zuria jekundu lakini ime kuwa tofauti kidogo na mategemeo yetu

Hamisa alivalia gauni la kijani ambalo si baya ni zuri mno lakini kuvaa kijani kwenye red carpet is very tricky, ni lazima ujue una valia kiatu gani na rang ipi itaendana nayo si kama nyeupe, nyeusi au nyekundu. gauni lime mtosha vizuri Hamisa tatizo lilikuja kwenye viatu, clutch, saa na nywele

15251643_232479343842980_6867501089663483904_n

viatu havija endana na gauni kabisa kwa sababu gauni lina stones za silver tuna dhani silver shoes zinge kuwa bora zaidi kuliko hizo za pink, tume penda that ka match hereni na clutch lakini vime zidi kuonyesha mtoko wake uwe awkward kutokana na kuto match vizuri na viatu. Na ana silver stones kwenye gauni, hereni nyeupe na clutch kwanini avae saa ya gold? outfit ipo off sana kutokana na tu na uchaguzi mbaya wa accessories na nywele ange zi style kidogo ki red carpet red carpet. Tumeongea sana kutokana na tuna jua Hamisa ange weza kuvaa vizuri zaidi ya hivi.

HII NI LIST YA WASHINDI KUTOKA TANZANIA

1. Rising Model East Africa -Abel K.

2. Best Dressed Female -Wema S. 3

.East Africa Designer Of The Year Martin K. 4. Most fashionable Video- Ally K

5. Most stylist female – Vee money

6. Most fashionable video- Aje ali K

7.East Africa Female Fashionista Of The Year -Hamisa Mobetto

8. Best Mesia Personality/ Entertainer Of The Year – Idris Sultan

 

Related posts