Wanasema Uki Copy basi jaribu ku edit uongezee vyako lakini kwa bahati mbaya mbunifu huyu kutoka Nigeria yeye aliona tu a copy na ku past yaani control C halafu control V, Katika Tuzo za Africa Movie Academy Awards, Zilizo fanyika hivi karibuni muigizaji/model Beverly Osu alionekana akiwa amevalia hili gauni la blue ambalo lilimkaa na kumpendeza
Lakini likatukumbusha hili gauni pia ambalo alilivaa Mwanamuziki kutoka Ulaya Lady Gaga likiwa limebuniwa na mbunifu Brandon Maxwell
Well wabunifu Africa creativity ime isha kabisa? hii sio kuwa inspired hii inaitwa ku copy na ku paste.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/muigizaji-beverly-osu-alivyo-debut-brandon-maxwell-dress-alilo-wahi-kuvaa-red-gaga/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 80776 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/muigizaji-beverly-osu-alivyo-debut-brandon-maxwell-dress-alilo-wahi-kuvaa-red-gaga/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/muigizaji-beverly-osu-alivyo-debut-brandon-maxwell-dress-alilo-wahi-kuvaa-red-gaga/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 3431 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/muigizaji-beverly-osu-alivyo-debut-brandon-maxwell-dress-alilo-wahi-kuvaa-red-gaga/ […]