SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nai Huddah Dress At Wasafi Festival 2019 ( We Are Judging)
Fashion Cop

Nai Huddah Dress At Wasafi Festival 2019 ( We Are Judging) 

Week iliyopita ilikuwa na mionekano mingi, ikiwa wengine wamejitahidi, wengine wakiwa wapowapo tu basi ilimradi siku zinapita na mwaka unaendelea, well katika mionekano yote huu wa Nai Huddah ulitustaajabisha the most.

Kwa wale ambao bado mnajiuliza Nai Huddah ni nani, Ni video vixen lakini pia ni makeup artist, Nai alionekana kuhudhuria katika event ya wasafi Festival akiwa amevalia neon tulle dress yenye tail.

Seriously 2019 na hujui uvae nini kwenye music festival? a tulle neon dress na tail juu kwenye music festival? tena mbunifu akiwa fashionista mkubwa kabisa Hamisa Mobetto

Hii gauni ilikuwa perfect kwa red carpet, wedding guest, birthday photoshoot lakini sio kwenye music festival, unachezaje na hii tail? wa pembeni yako anarukaje majoka bila ya kukunyaga? this was just a good outfit on a wrong event.

Kabla ya kuandaa vazi la kuvaa kwenye tukio fulani inabidi ujue mambo mawili matatu ikiwepo

 • Aina ya tukio – huwezi kuvaa a wedding dress club, red carpet dress kwenye music festival jua unaenda kwenye tukio la aina gani ikibidi tumia google kuangalia mavazi yanayofaa kwenye tukio hilo
 • Muda – Muda ni muhimu sana je tukio linafanyika saa ngapi na mavazi gani ni appropriate muda huo
 • Eneo – of course eneo nalo ni muhimu hio event inafanyika eneo gani?

Kwa Nai tumeshamuona akiwa kwenye mavazi mbalimbali ambayo tunadhani yangefit kabisa kwenye wasafi festival tena asinge hangaika hata kwenda kwa mbunifu maana anayo kabatini

Hizi two pieces zingefaa

Well Afromates tupeni maoni yenu kuhusu muonekano wa Nai Huddah katika Wasafi Festival 2019

Related posts

8 Comments

 1. browse around here

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 2. marijuana leaf

  … [Trackback]

  […] Here you will find 13770 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 3. window installer

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 4. weed edibles

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 5. click this over here now

  … [Trackback]

  […] Here you will find 20539 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 6. Albino Penis Envy for sale Sydney

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 7. 토렌트

  … [Trackback]

  […] There you can find 57207 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

 8. 웹툰 미리보기

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nai-huddah-dress-at-wasafi-festival-2019-we-are-judging/ […]

Comments are closed.