SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nandy Anahitaji Stylist Mpya
Fashion Cop

Nandy Anahitaji Stylist Mpya 

Miaka miwili mitatu nyuma Nandy alikuwa anatajwa katika wasanii ambao wanaongoza kwa kuvaa, na hii ilitokana na kwamba alikuwa anatumia sana stylist katika mavazi yake. kwa kipindi hiki tumeona kidogo amekuwa akiyumba kwenye swala zima la mavazi.

Tunaona kama anajaribu sana, yaani anaweza akavaa vazi likampendeza vyema lakini akaongezea kitu ambacho kinaruin the whole look. Mfano mzuri ni hii outfit ambayo amevaa hivi karibu. Bandage dress na ankle boots. Tulipenda the dress and boots na nywele zilikaa vyema lakini akaja kuongezea hiki ki mini bag na hizi layered necklase ambazo zili ruin muonekano wake kutoka kwenye boujiee to okay

Tuongelee kuhusu hii illfitted na unflattering suit, hatujui ni kwanini au nani alimshauri vae hivi, she had a lot going on na zote zilikuwa off, suit haikuwa imemtosha vyema, that mini handbag is cute but hauikuwa ina fit kwenye hii look, the glasses, hair, shoes all of them are cute but differently. Hii inatuonyesha unaweza kuwa na mavazi au accessories nzuri lakini endapo tu utakosea namna ya kuvi-put together unaweza kupata matokeo mabovu.

As much as tulipenda hii concept ya hii blue outfit lakini bado kulikuwa na mistakes ndogo ndogo kama ukiangalia kwa umakini kuna kitu amevalia ndani ambacho kinaonekana kwa nje, lakini pia miguuni finishing ya suruali haikuwa nzuri.

Tunadhani Nandy ni mdogo na bado anajaribu ku-experiment fashion mbalimbali lakini pia tunadhani she can do better as few years back.

Related posts