SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nandy Vs Macrida Who Rocked It Better
Fashion Cop

Nandy Vs Macrida Who Rocked It Better 

Leo kwenye who rocked it better tunae mwanamuziki Nandy pamoja na stylist Macrida Joseph, tume wa-spot wawili hawa wakiwa wamevalia S Colorful Striped Halter Chic Backless Jumpsuit.

Nandy amevalia jumpsuit hii akiwa amemalizia na pixie cut hair style, big hoop earings na simple makeup wakati Macrida yeye alivalia jumpsuit hii na ponytail hair style ambapo alibana na kibanio cha njano akamalizia muonekano wake na accessories kama miwani, handbag na hereni.

Well tuambie wewe unaona nani ame style vyema jumpsuit hii?

Related posts