SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NANI KAPENDEZA ZAIDI KATI YA DIAMOND NA NAHREEL
Fashion Cop

NANI KAPENDEZA ZAIDI KATI YA DIAMOND NA NAHREEL 

Wote ni wanamuziki wa bongo fleva na wote tuna wapenda lakini ime tokea wame vaa sare na ina bidi tuchague nani kapendeza zaidi na hii style kati yao, kuvaa suit bila shirt ndani ina trend kwa sasa na wao wamevaa ivyo na raba nyeupe

Nahreel mwanamuzi na producer kutoka Navy kenzo alivaa suit hio bila shirt na raba nyeupe huku aki accessorise na hereni, cheni, bracelets na saa ya gold

15251631_1624040251231626_5419641569500200960_n

huku Diamond nae akiwa amevalia hivyo hivyo na ku accessorise sawa na Nahreel kasoro miwani 15337325_1248716678499865_3414612086808903680_n

Tupe maoni yako ya nani kapendeza zaidi kwa kutuandikia hapo chini au tutafute

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts