SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NANI KAVAA NINI KATIKA SALLAM SK 90’S THEME BIRTHDAY
Fashion Cop

NANI KAVAA NINI KATIKA SALLAM SK 90’S THEME BIRTHDAY 

Mitindo ya 90’s inarudi in fact imesha rudi, tumeona watu wengi wakifanya party zao huwa wanatumia theme ya 90’s tuliona Beyonce alifanya Halloween party ambayo theme yake ilikuwa 80’s na 90’s na kwetu tumeona Sallam Sk meneja wa Diamond Platnumz ame fanya birthday yake na kuipa theme ya 90’s fashion. Tumependa kwamba watu wana jitahidi kutafuta theme nyingine zaidi ya black, white na Gold kama kawaida tuna review je walio kwenda kwenye hiyo party wote walipata memo au? kuna wengine memo waliisahau

Tukianza na mwenye party yake Sallam alivaa silk vinatge shirt na suruali nyeusi na viatu vyeusi alitoka kibaba lakini 90’s tumeona kawa inspired na hip hop 90’s fashion tumesha waona wengi wakiwa wamevalia hizi shirt akiwepo P Diddy.

Ay yeye amevaa full track suits ambayo 90’s pia ilikuwa on trend huyo dada hapo katikati katufuraisha 100% mom jeans na shirt lililo fungwa katikati very 90’s tunawaona TLC in her.

Tukija kwa Diamond Platnumz yoyote aliye mvalisha alifanya kazi nzuri tunamuona fresh prince in him (Will Sminth) Over roll, Timb’s za rangi tofauti

Wema Sepetu Dressed by The Stylist channeling Dionne Davenport gingham is so 90’s we likey

Ray Vanny nae alikuwepo hatuja elewa sana hii outfit ilivyo mkaa lakini full vintage outfit is so 90’s hapa pia tuna muona Will Smith

Wengine walio kuwepo waka tufurahisha ni maromboso ali create 90’s ya hapa bongo kidogo pia raizon, kizibao, na accessories 100%

Kifesi na Rich mavoko almost walikua the same na track suit nayo walipatia tuliomuona Jigga pia alivaa hii katika Halloween party yao

jay Z

ambao hatujaelewa walikuwa wana wa channel wakina nani ni babu tale na Queen Darleen Didn’t get the memo

Related posts

4 Comments

 1. rich89bet

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-nini-katika-sallam-sk-90s-theme-birthday/ […]

 2. mushroom candies

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-nini-katika-sallam-sk-90s-theme-birthday/ […]

 3. my response

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-nini-katika-sallam-sk-90s-theme-birthday/ […]

 4. best Puppies for Sale in Illinois

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-nini-katika-sallam-sk-90s-theme-birthday/ […]

Leave a Reply