Katika pita pita zetu leo tumeona kuna watu maarufu wengi kutoka nje na ndani ya nchi ambao hawakutaka kupitwa na mtindo wa kuvaa nguo nyeupe tupu na watu wao wakiwemo Vanessa Mdee, Salma Jabu (nisha), Tausi Likokola na Brigitte Alfred Je kwa upande wako unahisi nani kavaa vizuri zaidi
Brigitte yeye liongezea kikoti cha pink na viatu vya pink una mpa asilimia ngapi
Tausi alivaa kikoti, viatu virefu,kofia akiongezea na pochi je unampa asilimia ngapi?
Vannesa amevaa simple tu alicho ongeza ni kofia je na yeye unampa asilimia ngapi?
Salma Jabu nae hakua nyuma tofauti na wote yeye alivaa na raba (adidas nyeupe) pamoja na kofia ya Tanzania
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 55546 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-vizuri-zaidi/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-vizuri-zaidi/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nani-kavaa-vizuri-zaidi/ […]