SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NHLANLA VS VANESSA MDEE
Fashion Cop

NHLANLA VS VANESSA MDEE 

Nhlanhla ni mwanamziki kutoka South Africa ambae ana wakilisha kundi liitwalo Mafikizolo  na Vanessa A.K.A Vee Money anatoka hapahapa nchini kwetu Tanzania, wawili hawa wote wana penda mitindo halafu kama wanafanana tuachane na hayo jana katika kurasa za wote wawili za Instagram  zikipisha lisaa limoja Nhlanhla ndie alie anza kupost staili hii nywele akifuatiwa na Vee kama waliambiana wote wame weka nywele zinazofanana rangi hadi urefu Je Nani kapendeza au Who Rock The Hair Style Best? Vee au Nhlanhla?

unnamed

nhlanhla

Nhlanhla Siza

veemoney

Vanessa Mdee

 

 

Related posts

2 Comments

  1. Albino Penis Envy Mushrooms – 4 Oz

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nhlanla-vs-vanessa-mdee/ […]

  2. additional resources

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nhlanla-vs-vanessa-mdee/ […]

Leave a Reply