SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nigerian Wear Ruled Last Week & We Ain’t Mad
Fashion Cop

Nigerian Wear Ruled Last Week & We Ain’t Mad 

Leo kwenye weekly highlight tuna Nigerian Theme, yes sote tunajua namna ambavyo wa-Tanzania tunaipenda hii theme na kuipatia haswa, na hii sio tu kwa Nigeria bali theme nyingi za Nchi nyingine huwa tunazipatia kama Indian wear n.k. Week hii tumeona Nigerian wear ndio ilishika zaidi, ambapo tumemuona mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sarah Tz na Rukia Rucky kwenye hii style well lets start judging

Hamisa Mobeto dressed in Mobeto Styles,

We love her makeup, choice ya accessories, the gele is on point she just owned this look
The fabric of this dress is just wow and the design is spectacular, as we said she owned this look

Hamisa alihudhuria sherehe ya 40 ya mtoto wa mwanamuziki Mbosso na mpenzi wake Rukia Rucky, Rukia Rucky alivalishwa na Mobetto styles pia lets see the look

Makeup ipo on point, accessories on point, ambacho tunaona kimekuwa off na hakijaendana na huu mtoko ni rangi ya kucha, tungependa kuona nude or white may be.
Tumependa huu mtindo wa Gele, kitu cha tofauti kidogo, kama Hamisa fabric nzuri na mshono pia upo vyema.

Mke halali wa konde boy (Harmonize) na yeye ametu-serve Nigerian look na tunaweza kusema she Nailed the look

Makeup on fleek, accessories on point, love this look on her.

Well afromates nani amekuvutia zaidi na muonekano wake?

Related posts

2 Comments

  1. 4.20 bar minis milk chocolate review

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nigerian-wear-ruled-last-week-we-aint-mad/ […]

  2. betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nigerian-wear-ruled-last-week-we-aint-mad/ […]

Comments are closed.