Rita Ora ame kuwa akionekana fashionable sana toka mwaka huu uanze, street style yake ni stylish ame kuwa aki slay outfit after outfit siku hadi siku,
hii ikatupa matumaini sana katika red carpet yoyote itakayo tokea Rita ata pendeza sana lakini hivi juzi katika tuzo za Video Music Awards Rita alionekana tofauti kabisa yaani akatuoa ile “what happened look” imekuaje? kwanini Rita kavaa vile katika sherehe kubwa kama ile yaani ana pendeza mtaani lakini red carpet ana zogoa?
wakati Gaga akiachana na hii mitoko tunaona Rita ndo anaanza kurithi, kila kitu kipo wrong kasoro make up na nywele
bado hatujajua ni nini chanzo cha haya yote ni kwamba stylist wake haukuwepo? au alimua kuwa inspired by gaga?
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nini-kime-mtokea-rita-ora-vmas-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nini-kime-mtokea-rita-ora-vmas-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/nini-kime-mtokea-rita-ora-vmas-2016/ […]