Jana ilikuwa sherehe ya 40 ya mtoto wa mwanamuziki Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) na mpenziwe Tanasha Donna kutoka Kenya.

Kama ilivyoada sisi tulikuwa tunaangalia nani amevaa nini? hasa mama wa mtoto ambaye yeye ndio muhusika hasa wa sherehe. Tanasha alipakwa makeup na makeup artist lavie makeup, Lavie always makes us proud anajua anachofanya by that tunamaanisha she slayed her face.

Katika mavazi, Tanasha alivaa a pink mermaid dress kutoka kwa mbunifu Mac Couture, the dress was gorgeous , the details, finishing on point Mac Couture really took his time to create this dress

Ambacho tumekiona na hatukukipenda ni kwamba gauni ilimbana sana, tunahitaji kujua event inataka nini kutengeneza nguo, she needed to move kumtoa mtoto, kucheza alihitaji nguo ambayo inamfit vizuri na sio kum’bana sana. that was a miss kwetu lakini pia Mac Couture hii ni gauni ya mchana ya kumtoa mtoto nje? this looks more of a wedding dress au may be some type of red carpet event. Yes tunaelewa alitakiwa a-make statement lakini design hasa hii mermaid the touch’s are not for 40 event.
@mac_couture costume made dress for her baby’s 40 .Makeup @laviemakeup, Photograpger @benardatilio
Anyways afromates let us know your views on our comment section below.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 26093 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 81377 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 13110 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/our-two-cents-on-tanasha-donna-dress-for-naseeb-jr-40/ […]