SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Red Carpet Heaven Sent Movie Premier
Fashion Cop

Red Carpet Heaven Sent Movie Premier 

Kilicho kiki mtandaoni weekend hii ni premiere ya movie mpya wa Wema Sepetu iitwayo Heavensent, Wema alialika watu mbali mbali wakiwepo waigizaji wenzie na watu wengine maarufu as usual sisi jicho letu huwaga pale red carpet kujua nani kavaa nini na nani ameharibu na hawa ni baadhi ya tulio fanikiwa kuwanasa

Tunaanza na mwenye premier yake ambae ni Wema Sepetu, ali hit red carpet na gauni ya kijivu na black kutoka Elisha Red Label we must say alipendeza sana na make up ilikua on fleek

 

kulikua na after party ambapo alivaa gauni jekundu kutoka kwa mbunifu huyo huyo Elisha kwetu sisi hii gauni hatuja ielewa hata kidogo haija faa kuwa katika after part ina semekana hio nguva chini ilitolewa lakini bado hatuja pata picha zake

Juanitha nae alikuwepo tumependa sana gauni yake japo nywele, makeup na accessories zime muangusha sana, the dress lilikua elegant kama ingekuwa sisi tunge accessories kidogo sana maana gauni yenyewe imesha nibeba

Aunty in a black & gold jumpsuit

 

 

 

Esma nailed in a black slit dress ila esma huu mguu haukuuma kweli? looking lovely though

 

Martin Kadinda, Liliane Masuka

 

Joan hii kizungu sana tumependa kila kitu, gauni zuri na ume less accessorieze makeup simple hair game on point 

Elizabeth Michael aliattend akiwa na gauni jeusi lenye urembo wa gold, so far tumependa make up na nywele japo gauni sio baya pia

 

 

tupe maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii

Related posts

5 Comments

 1. Cambodian Magic Mushrooms near me

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-heaven-sent-movie-premier/ […]

 2. discover this info here

  … [Trackback]

  […] Here you will find 16445 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-heaven-sent-movie-premier/ […]

 3. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-heaven-sent-movie-premier/ […]

 4. 다시보기사이트

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-heaven-sent-movie-premier/ […]

 5. Ventilatoare de desfumare

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-heaven-sent-movie-premier/ […]

Leave a Reply