Bongo Star Search ni shindano la kutafuta vipaji kwenye upande wa muziki ambalo linafanyika kila mwaka, na jana ndo lilifikia kilele ama taamati yake na washindi kupatikana lakini sisi hatupo huko kawaida yetu ni kuangalia nini kavaa nini na je kaendana na tukio? hizi ndio chache zilizo tuvutia.
Ritha Paulsen a.k.a madam Ritha katika gauni la black and white huwaga hakosei katika swala zima la mavazi
linnah Sanga looking fly akiwa ana jiandaa kwenda bss
Elizabeth Lulu Michael Au Shikana ukiongelea Mitindo hapa ndo nyumbani kwake katika gauni la blue kuelekea BSS
Aika na Nahreel kutoka navykenzo wakiwa redcarpet
Yamoto band sina uhakika nao sana lakini wana sababu walikua wana tumbuiza labda ndio sababu ya kuvaa sare
Shaa
Shaa na Master Jay A.K.A Mr Lavalava wake wamependezaje wakiwa wame match rangi
Mrs Super Star,Rommy Jones na Linnah Sanga
Kutoka kushoto Siza, Kayumba( ambae ni mshiriki na mshindi wa bss 2015), Penny
Rommy Jones akiwa na mashabiki wa BSS
Mwanamuziki Run Town kabla ya kupanda jukwaani
Chegge na MwanaFa wakiwa katika Red Carpet
Hii hapa hatukuielewa labda utupe maoni yako ni kwa sababu ni onyesho la mziki ndo maana walivaa hivi ama vipi?
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-na-mitupio-bongo-star-search-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 44091 more Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-na-mitupio-bongo-star-search-2015/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 3875 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-na-mitupio-bongo-star-search-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-na-mitupio-bongo-star-search-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/red-carpet-na-mitupio-bongo-star-search-2015/ […]