SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Red Carpet Worthy Looks From Last Week
Fashion Cop

Red Carpet Worthy Looks From Last Week 

Okay ni jumatatu nyingine tena na kama kawaida huwa tunawaletea highlights za week iliyopita, week hii tumeenda global na kuona wenzetu wamefanya nini huko Nchi nyingine. Kulikuwa na events mbalimbali ambapo tumetoa looks zilizotuvutia.

Mbunifu na fashionista kutoka Ghana Nana Akua Addo won our hearts in this stunning dress kutoka kwa mbunifu carysantiago, Nana alikuwa anahudhuria katika Glitz Afrika Awards, she showed up & showed out.

Mask On
A bird ready to fly.

Muigizaji Zynnell Lydia Zuh kutoka Ghana na yeye alikuwa katika Glitz Africa Awards yeye alikuwa ana drip in this gold fit, gauni inatoka kwa mbunifu sima_brew , we love how extra and yet beautiful this look is.

PearlS, Hat, Gloves did we hear Royal?
Baby Serving Bowdie

Toke Makinwa served us all white fit by @ericamoorebrand, we all know Toke is extra, this look is everything and more, yaani tunaweza kusema imelipiwa na VAT.

Rihanna Mwenyewe Ameattend kwenye event yake ya Diamond Ball akiwa amevalia Hii Givenchy Black & White Dress, Fenty Pumps, Amemaliza Muoneokao Wake Na Red Touchs, Slaying Effortlessly

Tuambie muonekano upi umekuvutia sana kati ya hii mionekano minne ya week hii.

Related posts