Toka mwaka umeanza tumeona outfit ambazo hazieleweki ( tukijiuzia kusema mbaya) lakini hii ya Zuchu ni funga kazi, how can a young super star ambae anakuwa branded na kampuni kubwa kama wasafi akatoka kwenye event na hii outfit?

Whoever design this outfit atuambie how does she / he likes his Thunder served, fried, roasted or boiled?
Outfit ina huzunisha, tunadhani Zuchu ajifunze kusema hapana bora hata angetoka na denim pant, vest na raba kuliko hii outfit. The fire fighter gloves, the batman kimono, those grand ma pants, the parachute boots why? why? why?
Someone please help this girl please before hatuua na pressure.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/reviewing-zuchus-outfit-at-tumewasha-na-tigo-2020-concert/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 32394 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/reviewing-zuchus-outfit-at-tumewasha-na-tigo-2020-concert/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/reviewing-zuchus-outfit-at-tumewasha-na-tigo-2020-concert/ […]