SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RIHANNA EFFORTLESS SHIRT DRESS OUTFIT
Fashion Cop

RIHANNA EFFORTLESS SHIRT DRESS OUTFIT 

Rihanna huwa anakuwaga effortless katika mitoko yake lakini ana pendeza mno, baaada ya kutrend sana mitandaoni kuhusu uhusiano wake na rapper Drake ambao wame amua kutuweka njia panda kama wana date au lah, Rihanna na Drake wame onekana mara mbili katika mitoko ya usiku ambao wa kwanza ilikua ni Dinner Date

Rihanaa alivaa shirt dress nyeupe, mkanda wa brown na open heels za brown, bun hair style, simple make up na akabeba clutch ya pink… una weza kuona haja put effort nyingi kupangilia huu mtoko lakini ame noga

gallery-1472574216-spl1342807-001

muonekano wa pili ni Rihanna alivaa shirt dress nyeupe na pump heels nyeupe pia ni jinsi alivyo ivaa hii shirt dress ndio tume penda, ame geuza mbele nyuma nyuma mbele. Uhitaji kufikiria sanaa kuwa wa tofauti.

37BF6F9F00000578-0-image-a-2_1472646825516

Simpe na imekua club look baada ya kuweka visikizo nyuma, Riri knows it all.

Related posts

4 Comments

  1. where to buy shrooms Australia.

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/rihanna-effortless-shirt-dress-outfit/ […]

  2. find more

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/rihanna-effortless-shirt-dress-outfit/ […]

  3. HoyleCohen

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/rihanna-effortless-shirt-dress-outfit/ […]

  4. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/rihanna-effortless-shirt-dress-outfit/ […]

Leave a Reply