SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RIHANNA VS NAOMI CAMPBELL
Fashion Cop

RIHANNA VS NAOMI CAMPBELL 

Naomi na Rihanna ni marafiki wa karibu mno japo kazi wanazo zifanya haziingiliani, Rihanna ni mwanamuziki wakati Naomi ni model lakini haija wazuia wawili hawa kuwa karibu na hii ndio labda ikapelekea mpaka wawili hawa wawe na jicho moja katika mavazi, Leo tupo nao katika nani kapendeza zaidi (who rock it best)

ambapo gauni hili alionekana nalo mara ya kwanza Rihanna mwaka huu mwezi april akiwa kavilia katika cover ya vogue magazine

cover-image rihanna-vogue

Wakati Nami yeye ameonekana nalo jana katika New York fashion Week katika Show Ya Tom Ford ina bidi tuulize nani kapendeza zaidi?

tom-ford-new-york-fashion-week-ss17-front-row-naomi-campbell

Kutupa majibu yako tafadhali tembelea kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

Facebook- Afroswaggamag

Instagram- Afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

Related posts