Kwenye fashion highlight za week hii tuna wanaume hawa kutoka Tanzania ambao tuliwaona wamevaa na kupendeza hasa week iliyopita, ni mara chache kuona wanaume wakichukua taji la kuwa wame-own the week kwa kuwa fashionable na week iliyopita ni moja kati ya week ambayo tuliona looks after look kutoka kwao.

Well let see who served us what?

Diamond Platnumz Looked Dapper in this speshoz suit, tulisema ni mara chache kumuona Diamond akiwa perfect hana kasoro katika outfit yake, the hair style nzuri, suit nzuri, viatu on point, he just looked sharp.
Aslay yeye alikuwa kwenye white & gray, we love this look namna ambavyo amechukua basic na kuziupgrade na kupata huu muonekano mzuri, wakati mwingine huitaji kuvaa brands, au vitu vingi unahitaji vichache ambavyo vimepangiliwa vyema
Rio served us all black everything & we loved it, simple yet classy & neat.

Noel Ndale yeye alikuwa in black & white, the fit is on point & well styled.
Hail Hail to G Nako Warawara, we always love a man who stands out, tumependa namna ambavyo G nako ametumia rangi kwenye outfit yake, yes men wear bright colors too, take notes & learn from a brother hapo.