SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SITTI MTEMVU VS ELIZABETH MICHAEL
Fashion Cop

SITTI MTEMVU VS ELIZABETH MICHAEL 

Sitti Mtemvu aliyekuwa miss Tanzania 2014 kwa muda mfupi kisha akajivua taji na Elizabeth Michael muigizaji anae jua jinsi ya kujipangilia katika mavazi, wameonekana kupenda gauni moja la usiku. Sitti amelivaa gauni hili na viatu rangi ya almasi wakati Eliza amevaa na viatu rangi ya pink, mitindo yao ya nywele pia ime fanana japo Eliza za kwake ni nyeusi na Sitti za kweke zina dhahabu ndani yake.

eliza

Elizabeth Michaelsitti

Sitti Mtemvu

Related posts

Leave a Reply