SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SKIN JEANS AU PENCIL SKIRT NA HII RUFFLE TOP
Fashion Cop

SKIN JEANS AU PENCIL SKIRT NA HII RUFFLE TOP 

Fashion blogger kutoka Nigeria Stella Uzo ambae blog yake inaitwa Jadore Fashion, huwa ana sifika kwa kutupa namna mbali mbali za ku style nguo au viatu mara mbili, Mfano anaweza kuvaa mtoko wake akavaa na snikers na heels hii ina mpa msomaji wake choice ya kuchagua kama atataka kuvaa kama yeye basi ana namna mbili za kuvaa, na ndicho alicho kifanya hapa kwa hii top, Mara ya kwanza alivaa na pencil skirt ambayo mwenyewe alisema ni Valentine day outfit

Lakini mara ya pili amevaa tene hii top na skin jeans lakini viatu ni vile vile alicho badilisha ni nywele na accessories

Je ume penda mtoko upi kati ya hio miwili skirt au skin jeans? tuambie kupitia

Instagram – afoswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

2 Comments

  1. Buy Mastermind Dark Chocolate online Australia

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/skin-jeans-au-pencil-skirt-na-hii-ruffle-top/ […]

  2. Mushrooms golden teacher

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/skin-jeans-au-pencil-skirt-na-hii-ruffle-top/ […]

Leave a Reply