SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SOUTH AFRICAN BATTLE – KEFILWE X BONANG IN PLEATED SKIRT
Fashion Cop

SOUTH AFRICAN BATTLE – KEFILWE X BONANG IN PLEATED SKIRT 

The pleated skirt bado iko kwenye chat, every fashionista owns it na wana zi style namna tofauti tofauti kati ya wengi tulio waona wapo hawa ma fashionista kutoka South Africa Bonang Matheba na Kefilwe Mabote, Bonang na Kefilwe wana role tofauti katika jamii lakini wote wana julikana kwa kitu kimoja kuwa stylish all day every day.

Na wame post hizi picha siku chache tu baada ya mmoja ku post rangi si sawa lakini skirt ni moja na some how walivyo zi style wame style sawa

bonang went for a pinkish outfit ambapo alivaa pink pleated skirt na vest nyeupe aka tupia na baby pink bomber jacket, kamaliza muonekano wake na pink pumps, miwani, mikufu na handbag yenye blue na pink

Wakti kefilwe yeye alienda minimum alivaa silver mettalic pleated skirt, akavaa na yeye vest nyeupe katupia na red coat huku akimalizia muonekano wake na mettalic open heels,black handbag na hereni

Je nani kakuvutia sana na mtoko wake Bonang au Kefilwe? Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

1 Comment

  1. ufabet365

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/south-african-battle-kefilwe-x-bonang-in-pleated-skirt/ […]

Leave a Reply