SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Speshoz Anatuonyesha Kwanini Wabunifu Wanahitaji Stylist
Fashion Cop

Speshoz Anatuonyesha Kwanini Wabunifu Wanahitaji Stylist 

Tulidhani hili swala tumesha limaliza toka mwaka jana tulipiga kelele sana la kushirikiana kati ya stylist, wabunifu, wanamitindo na make up artis, kiukweli kabisa hawa ni kama bahar na chumvi ikikosekana basi hilo huwa ziwa au mto. Wabunifu wanamitindo hawana kazi, bila wana mitindo wabunifu hawawezi ku showcase kazi zao, stylist nao wanawahitaji wanamitindo na wabunifu lakini pia makeup artist.

Leo tumeona post kutoka kwa mwanadada Fahyma akiwa amevalishwa na mbunifu speshoz, we all know speshoz ni mbunifu mzuri sana wa mavazi lakini linapokuja swala la kuonyesha mavazi yake na hasa katika kuwavalisha wanamitindo vitu huwa tofauti kabisa mfano mzuri ni huu wa yeye kuwavalisha au kutatumia Fahyma na Irene kama models katika kutangaza mavazi yake. Kwa hapa tunaweza kusema models wako perfect fine wana miili mizuri tatizo labda ni kujua how to pose lakini katika upande wa make up tuki include na nywele pamoja na style is just uugh

 

Tukianza na Irene, nywele haziendani na outfit as amevaa corporate alitakiwa kuwa style na nywele zinazo eleweka inaweza kuwa same color na style ila iwe ime kaa vizuri sio kupinda kama hapa, na pose pia ziko kawaida tunadhani kama speshoz angetafuta watu wa kumsaidia kama stylist na makeup artist wange mtengeneza vizuri Irene na kumuelekeza apose vipi

Fahyma ndio kabisa nguo hazimtoshi, amekuwa styled vibaya, pose hakuna its just a bora liende kind of photo shoot, Speshoz needs to step up his game anarudi kwenye upcoming badala ya kupanda, we understand ndio unaanza na nguo za kike lakini same effort ulifanya kwenye nguo za kiume ufanye na hapa tunaweza kusema una experience tayari huitaji msaada.

Nguo ni nzuri mno lakini zimekuwa styled vibaya na kuleta mushkeri ni matumaini yetu mpaka kufika mwisho wa mwaka haya mambo tutakua tumesha yarekebisha

 

Related posts

4 Comments

 1. window repair

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/speshoz-anatuonyesha-kwanini-wabunifu-wanahitaji-stylist/ […]

 2. same day weed delivery scarborough

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/speshoz-anatuonyesha-kwanini-wabunifu-wanahitaji-stylist/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/speshoz-anatuonyesha-kwanini-wabunifu-wanahitaji-stylist/ […]

 4. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Here you can find 17300 additional Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/speshoz-anatuonyesha-kwanini-wabunifu-wanahitaji-stylist/ […]

Comments are closed.