Jennifer Obayuwana ni mtoto wa Nigerian Billionaire John Obayuwana ambae ni CEO wa Nigerian Luxury Company POLO Limited. Mwanae Jennifer n Executive Director wa kampuni hio.
Jennifer ni kama wanawake wengine tu she is a shoe lover na tume m-spott akiwa ame valia zebra leather Gucci pump zenye thamani ya $ 1,290 sawa na 2,838,000/- za ki-Tanzania.
Siku ya kwanza tunaviona hivi viatu we were like kwanini vina uzwa bei ghali hivyo? like who will wear those? lakini we people we differ mwenzetu kakiona kakipenda na kakivaa.
Jennifer amevaa viatu hivi mara mbili ambapo mara kwanza it was worse kwenye macho yetu, hio skirt haikubaliki mboni ya jicho letu, as we are still wondering nini kili mu-inspire mbunifu koti za maboda boda au?
lakini mara ya pili ilikuwa tofauti kidogo as alivaa vizuri tukamuelewa but we are still on the pumps does they worth it?
she looks good actually we love that she is a dare
lakini je mates kwa huo muonekano wa hivyo viatu utavivaa? hata kama vinge uzwa bei rahisi?
tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 23619 more Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-jennifer-obayuwana-in-1290-zebra-leather-gucci-pump/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-jennifer-obayuwana-in-1290-zebra-leather-gucci-pump/ […]