Flared trend iliingia mwaka jana mwishoni tuliona kila Fashionista, Fashion lovers, bloggers wakiwa wame valia hii trend, seems like bado ina make it’s way through baada ya kuanza kuona watu wakivaa hizi flared trousers iwe kitambaa au denim jeans.
Mara ya kwanza tuliona tukawa hatuna uhakika kama they will last longer lakini inaonekana watu wame anza kuvutiwa nayo na wame anza kuzivaa, well hawa ni baadhi ya tulio waona wakiwa ndani ya jeans hizo
Our favorite blogger kwa sasa missenocha na ni kwa sababu ana crazy DIY’s hasa kwenye viatu tume mspott akiwa ame vaa jeans hizo na anklet heels boots
@dennayafamous ni blogger mwingine tena aliye onekana akiwa ame valia trend hii yeye alivaa na nude pumps ambazo alimatch na sidiria yake, bomber jacket na metallic Choker
fashionista Toun Aj ameonekana kuvutiwa zaidi na trend hii as tume mspott mara nyingi akiwa ame valia flared trouser iwe ni denim au kitambaa,
Unaweza kununua lakini pia una weza ku DIY nyumbani, Je umependa trend au hapana? Tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 2427 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 11796 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/spotted-trend-flare-trousers/ […]