SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

STREET STYLE: SCARF STYLE KUTOKA KWA IDRIS SULTAN
Fashion Cop

STREET STYLE: SCARF STYLE KUTOKA KWA IDRIS SULTAN 

Idirs Sultan mshindi wa big Brother mwaka jana ni moja ya watu ambao wana penda mitindo, Idris ana uwezo wa kukivaa kitu kimoja mara nyingi kwa namna tofauti na akapata mionekeno tofauti na hhio ndio maana nzima ya Fashionista. Katika vitu ambavyo vinaonekana kumvutia Idris ni Koti na Scarf ambapo mara nyingi katika mitoko yake amekua akivitumia. Leo tunaongelea scarf mpaka sasa Idris amevaa Scarf hivi kwa namna tatu tofauti

1) Mtupio

Hii ni ile namna ana ivaa tu shingoni na itupia basi.

11950555_1490836107885135_1724120002_n 12328307_141896026177767_2111817676_n

2) Turban style

Hapa Idris amechukua scarf zake na kugeuza kuwa kiremba we love this one hasa kwa wanaume wa ki Africa ni ngumu kidogo kuwa stylish kiasi hiki.

12568714_1742436659323116_1286396914_n 12716690_188354334862070_2062797208_n

3)Scarf ndani ya koti, hii ni style mpya ambayo anayo kwa sasa ametupia scarf yake shingoni lakini kwa nje amevalia koti nice.

12677192_1538327263136621_1794124392_n 12965056_1693688127537759_1685424336_n index

 

Related posts

3 Comments

 1. Sexy Baccarat

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/street-style-scarf-style-kutoka-kwa-idris-sultan/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Here you will find 56702 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/street-style-scarf-style-kutoka-kwa-idris-sultan/ […]

 3. สมัครเว็บสล็อต

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/street-style-scarf-style-kutoka-kwa-idris-sultan/ […]

Leave a Reply