SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stylist Wa Rayvanny Ajaribu Kufikiri Nje Ya Box
Fashion Cop

Stylist Wa Rayvanny Ajaribu Kufikiri Nje Ya Box 

Rayvanny ni moja kati ya wasanii wanao fanya vizuri katika sekta ya muziki, ana toa hit after hit na video zake zipo very fashionable. Lakini linapo kuja swala la street style hatuja jua Raymond ana kwama wapi, He is young & fresh na yeye ni mdogo kuliko wenzake aliokuwa nao label moja, kwetu tulitegemea kuona akiwa stylish kwa kujaribu ku-dare kuvaa mavazi aina mbalimbali, too bad and very sad ni tofauti kabisa.

Raymond is hidding under the track suit umbrella kila siku, tofauti na wasanii wengine ambao tunaona wana jaribu kujaribu styles tofauti tofauti kubadilisha mionekano yao, Raymond yeye ni track suit kilasiku. Kama hujui ana fanya kazi gani unaweza kuhisi ni athlete (mwana michezo) eidha mkimbiaji, mcheza masumbwi etc maana hawa ndio huwa wana vaa track suit mara kwa mara kutokana na kazi zao.

Even though the track suit is trending kwa sasa, we real wish tungemuona Raymond kwenye mavazi mengine, kama tatizo ni mwili tuna shauri aende gym lakini mbona kina Rick Ross, Dj Khaleed wana miili na wanavaa style tofauti tofauti, kama kuna mtu anamvalisha Raymond tungependa kuona unatoka nje ya comfort zone yako, mvalishe Raymond kutokana na umri wake na wakati, jaribu kutafuta styles tofauti & refresh his wardrobe.

Tunahitaji kuona Rayvanny akiwa anaendana na muziki wake, we need to see him making statement kupitia fashion & style, aonekana akiwa anavaa kama umri wake unavyo ruhusu, tunaona wasanii kama kina Dogo Janja, Ben Pol, Nedy Music wakiwa wanajaribu na ku-push so hard kwenye mionekano tungependa kuona kwa Raymond pia ikitokea, No sio kwamba hapendezi lah hasha lakini pia sio kila siku maharage japo ni mboga siku nyingine hata samaki basi tubadilishe ladha.

Hopefull tutaona kitu kipya hivi karibuni, maana hii ishazoeleka. Surprise us.

Related posts

4 Comments

  1. Cheap DMT for sale Brisbane

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/stylist-wa-rayvanny-ajaribu-kufikiri-nje-ya-box/ […]

  2. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/stylist-wa-rayvanny-ajaribu-kufikiri-nje-ya-box/ […]

  3. debt

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/stylist-wa-rayvanny-ajaribu-kufikiri-nje-ya-box/ […]

  4. comprar resenas google

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/stylist-wa-rayvanny-ajaribu-kufikiri-nje-ya-box/ […]

Comments are closed.