SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Suit Aliyo Vaa Wasiwasi Mwabulambo Imetoka Katika Ki2pe Women Wear Collection?
Fashion Cop

Suit Aliyo Vaa Wasiwasi Mwabulambo Imetoka Katika Ki2pe Women Wear Collection? 

Well kama utauliza Afroswagga wana tumia muda wao vipi utaambiwa huwa tunakesha social net work kutafuta interesting story za fashion, na katika pitapita zetu tukakutana na mbunifu wa mavazi ki2pe, ki2pe huwa anabuni suit na mavazi mengine ya kike na kiume. Na week iliyopita katika Tuzo za Sinema Zetu alitisha sana kwa kuwavalisha watu maarufu mbalimbali lakini hii ya Mtangazaji Wasiwasi Mwabulambo ika tuvutia zaidi.

Wasiwasi alivalishwa na mbunifu huyu ambapo iliyotuvutia zaidi ni hii suit ya burgundy aliyochanganya na kitenge, Tunajua Wasiwasi ni mfupi lakini cha kushangaza akavalishwa coat refu ambalo lilikaribia kufika magotini hii ikamfanya asionekane vizuri yaani kama suit imemvaa na hakupata shape nzuri as we all know ina bidi uvaa kitu ambacho kina flatter your body. hakuonekana tumbo wala kiuno.

Lakini pia kama ni mfupi inabidi uvae nguo ambazo zina ku fitt vizuri ilikukupa urefu kidogo, nguo ambazo hazija ku- fit sawia zinakufanya uonekane wider badala ya kukufanya uonekane mrefu au kimo chako, Ki2pe ndicho alicho kifanya kwa Wasiwasi alifanya mwili wake umezwe kabisa katika hii suit, akaonekana mwili mkuubwa na umbo dogo.

But well sisi tulivyo ona mara ya kwanza hii outfit tukawaza Je? ki2pe kamvalisha mwenzie top dress? in a funy way na yeye mwenyewe akaja kupost outfit hii huku aki hashtag #womenwear hii ikaja kuzidi kutupa maswali je ni kweli suit hii imetoka katika collection ya women wear lakini si jambo baya as we all know sasa hivi kuna muingiliano wa mavazi kati ya wanawake na wanaume.

Kwetu tunaweza kumshauri Ki2pe awe anaangalia na body type ya mtu kama ambavyo tuliongelea ni vyema ukawa unajua body type yako ili uepushwe na disaster kama hizi the suit is perfect well ila ni kwa mtu mweye body type nyingine haikuwa sawa kumvalisha hili coat Wasiwasi as mwenyewe ni mfupi lenyewe refu lakini pia tayari Wasiwasi ni mnene hili coat limezidi kumeza na kuongeza ukubwa wa umbo lake kuliko umbo lake halisi.

Related posts

5 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Here you will find 73895 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/suit-aliyo-vaa-wasiwasi-mwabulambo-imetoka-katika-ki2pe-women-wear-collection/ […]

  2. บาคาร่าออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/suit-aliyo-vaa-wasiwasi-mwabulambo-imetoka-katika-ki2pe-women-wear-collection/ […]

  3. Multiple streams of income

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/suit-aliyo-vaa-wasiwasi-mwabulambo-imetoka-katika-ki2pe-women-wear-collection/ […]

  4. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/suit-aliyo-vaa-wasiwasi-mwabulambo-imetoka-katika-ki2pe-women-wear-collection/ […]

  5. spin238

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/suit-aliyo-vaa-wasiwasi-mwabulambo-imetoka-katika-ki2pe-women-wear-collection/ […]

Comments are closed.