SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanzanian Celebrities Who Improved Their Style In 2019
Fashion Cop

Tanzanian Celebrities Who Improved Their Style In 2019 

2019 Imebakisha siku kumi na moja uishe kama ambavyo ilivyoada huwa tunakuletea report ya mwaka mzima, na mwaka huu tunaanza na watu maarufu ambao wamejiongeza mwaka huu na wakuwa watched mwakani.

  • Gigy Money

Gigy amekuwa katika list yetu ya wasanii wasiojiweza katika mavazi kwa muda mrefu, her style haikuwa ina match na jina lake lakini tumeona anaanza ku-improve na kujiweka vile ambavyo anatakiwa kuwa.

As we said anaanza kujiweka bado hajafikia panapo takiwa lakini ni mara chache kumkuta kaharibu. Tumependa kwamba ana partner na maduka mbalimbali ya mavazi, viatu,nywele na makeup the only thing tungependa ajitahidi nacho ni kuwa serious na mavazi yake, ameshapata sehemu achague quality & classy clothes lakini pia wigs ziwe zimetengenezwa vizuri all in all she did her best 2019

  • Fahyma A.K.A Fahyvanny

Tulishawahi kuongea kuhusu mwanadada huyu, ana mwili mzuri, mrembo lakini hakuwa anajua asimame wapi linapokuja katika swala la mitindo lakini hivi karibuni tumeona akijitahidi sana katika mionekano yake. Amepata tuzo kadhaa za mitindo ikiwepo ya SWF kama Fashionista of the year. Tunachoweza kusema kwake kupendeza sio tu kwenye mitoko maalum ajitahidi kutulia mkazo na casual looks zake. Pia a-upgrade accessories & shoes department yake, but she tried in 2019.

  • Linah Sanga

Japo bado ana long way to go lakini hatuwezi ku-ignore the fact that she is trying, Linah ameonekana kutilia makazo mitoko yake hasa ya casual, tungependa kumuona more kwenye events, more casual look na different style. Lakini so far so good.

Well Afromates nani unadhani alifanya vizuri 2019 anatakiwa aongezwe kwenye list hii?

Related posts

7 Comments

  1. tiktok video download

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  2. BK8

    … [Trackback]

    […] Here you will find 52456 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  3. read

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  4. go x

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  5. bio ethanol burner

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  6. ufabtb

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

  7. More about the author

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tanzanian-celebrities-who-improved-their-style-in-2019/ […]

Comments are closed.