SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TAYLOR SWIFT VS MWANAMITINDO ANDREJA PEJIC
Fashion Cop

TAYLOR SWIFT VS MWANAMITINDO ANDREJA PEJIC 

Ikiwa ni wiki ya Oscar kama ambavyo wenyewe huiita, matukio mengi hutokea hasa katika swala zima la mitindo. Mwanamitindo aliye badili jinsia Andreja Pejic na mwana muziki Taylor Swift wametokea kuvaa nguo sare sare na kama kawaida wadau wa mitindo lazima tujue  nani kapendeza zaidi

andrea-1456788751

Andreja Pejic amevaa gauni hili jeusi akiwa ame match na pochi na viatu vyeusi wakati taylor-1456788593

Taylor Swift ame vaa gauni hili akimatch na viatu, mkufu pamoja na kipochi vya rangi ya dhahabu.

Related posts

Leave a Reply