SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best And Worse Looks From Last Week
Fashion Cop

The Best And Worse Looks From Last Week 

Kila week huwa tunawaletea weekly fashion highlights na ikiwa leo jumatatu inamaanisha ni siku ya kupata nani alivaa nini na nani alipendeza na yupi hakufikia viwango, well tuanze na wale waliofanya vizuri.

Weekend ilikuwa na harusi na hii ilikuwa sherehe ya dada yake mwanamuziki Nandy aitwae Celine Mfinanga, gauni ilibuniwa na kushonwa na mbunifu Kyamirwa, this dress is master piece, breath taking kutoka kwenye design, fittings, rangi hadi finishing. Kyamirwa did that.

Fahyma anatupa fire after fire, this print co-ord set is everything, imemfit vizuri, rangi nzuri, makeup & hair on point & our girl did update her shoe collection, we love these pair.

Mwanamuziki Nandy akiwa in purple dress, rangi na design ya dress ni nzuri sana, makeup on point, nywele zilikuwa nzuri ambacho kilitutoa kidogo ni viatu na crown, lakini gauni imenyanyua muonekano from 0-75

sasa tuone wale ambao walizua gumzo na sio kwa namna nzuri

Nandy alienda ku-perform katika One Africa Music Fest, akiwa amevalia hili vazi, linatuma some type of Beyonce X Michael Jackson vibes ambapo tunadhani kama ingevaliwa vizuri basi ingekuwa Fire. The fact that hii nguo tayari ina mambo mengi yanaendelea tulidhani Nandy angejaribu kuwa-less katika vingine eg angechagua kati ya nywele na kofia kimojawapo kitoke, lakini pia choice ya rangi ya stockings haikuwa njema we say its a good outfit but wrong styling.

Lulu Diva ametu-disappoint sana unawezaje kuvaa chef hat ( kofia ya wapishi ) kisha ukaacha nywele zitokee kiasi hiki mpaka kuingia kwenye sufuria la chakula? hajui kazi ya hizi kofia? hakuweza kubana nywele? why did she post this picture anyways?

well afromates ni hayo tu kwa week hii, tupe maoni yako kuhusu hii mionekano katika box letu la comment hapo chini

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-best-and-worse-looks-from-last-week/ […]

  2. health benefit of ganoderma lucidum mushroom

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-best-and-worse-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.