SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THE KARDASHIAN WAKO ADDICTED NA RIHANNA STYLES
Fashion Cop

THE KARDASHIAN WAKO ADDICTED NA RIHANNA STYLES 

Kwa muda mrefu Rihanna amekuwa akitajwa kama Fashion Icon ni kwa namna ana weza kuvaa kitu akapendeza effortless lakini pia mitindo yake huwa migumu lakini mwenyewe ana pendeza siku mbili tatu zilizo pita tuliona jinsi Rihanna na Kim Kardashian walivyo jibizana kidogo katika mitandao ya kijamii kutokana na Kim kuiga Style ya Rihanna kama hukuona soma hapa https://afroswagga.com/habari/beef-ya-ki-fashion-kati-ya-rihanna-na-kim-k/

you

Baada ya siku chache toka tukio hilo litokee tumeona wadogo wa Kim Kardashian nao waki iga mitoko ya Rihanna hii ime tufanya tuwaze ni coincidence? au wame kua wakiiga toka zamani lakini hatuku notice au ni kutaka kuchukua lile jina la Fashion Icon la Riri?

Kendall akiwa amevaa same red heart coat ambayo aliivaa Rihanna kipindi kifupi cha nyuma

1006_kendall_dueling_gallery_main

Siku mbili tatu zilizo pita Rihanna alionekana na hio pink coat ambapo Kylie Jenner nae ameonekana kuiga hio style,14448434_348058588871145_7246389876017332224_n gallery-1475521809-spl1366351-004-copy

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Related posts