Ukiongelea familia ambayo ipo fashionable huwezi kukosa kuwataja the Kardashian, ambao wapo katika kila sekta ya urembo, nguo, manukato mpaka rangi za kucha, pia ni wana mitindo ila hivi karibuni tunaona wapo obsessed na ripped jeans hasa nyeusi watu wana sema hii ime tokana na Kanye kuwa mmoja wa familia, zamani ilikua ni mara chache kuwaona wame vaa nguo za aina hii lakini kwa sasa katika siku mbili lazima kuna mmoja wapo ata vaa ripped jeans,
Kenddal na Kylie katika ripped jeans au jeans mcharuko
mama yao Kris Jenner ambae aliamua kuwa casual kwa kuvaa full black na simple viatu na pochi la blue
Kim, Kourtney na Khloe wakiwa wame valia ripped jeans na viatu virefu. unaweza kuvaa ripped jeans vyovyote kutokana na matakwa yako pia ni mtoko mzuri ambao unaweza kuwa simple pia kuonekana stylish.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 42410 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-kardashians-na-mapenzi-ya-jeans-mcharuko/ […]