SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Slayed And Played Looks From Last Week
Fashion Cop

The Slayed And Played Looks From Last Week 

Committee ya kujudge weekly looks is back, hii segment tunaangalia looks mbalimbali kutoka kwa watu maarufu katika week iliyoisha. Week hii tuna Hamisa Mobbeto, Zarina Hassan, Wema Sepetu, Lavidoz, Joujou Nyaki pamoja na Gabo Gozimba. Katika hawa kuna ambao tumependa mionekano yao na wale ambao kidogo walienda mrama.

Hamisa Mobetto In Mobetto Styles Dress, we like the red look gauni imemkaa vyema makeup, hair, accessories on point our concern is are gonna see her in these types of dress always? hatuwezi kutoka nje ya box? we need something new please

Tumemuona Zari the boss lady akiwa amevalia gauni la kitenge, okay lets say this hatukuwahi kufikiria in million years kumuona Zari akiwa amevalia vazi la kitenge. Akiwa Chicago amehudhuria Miss North Uganda akiwa amevalia double layered mermaid dress akiwa amemalizia na fascinator ya kitenge, we love the look but the accessories & hair are not doing the look justice.

Wema Sepetu in black mermaid dress by Kenny The Brand, well whats new is the body the rest are just regular.

Stylist Joujou Nyaki served us cocktail, hii colorful outfit won our best dressed of the week. Namna ambavyo ame dare kuchanganya rangi na bado akawa perfect is an art.

Gabo Zigamba akiwa amevalia suti kutoka kwa my tailor hii tutawaachia wasomaji wetu m-judge je slayed au played?

Well afro mates tuambie look gani imewavutia na ipi mmeona imezingua?

Related posts

2 Comments

  1. marijuana seeds for sale

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-slayed-and-played-looks-from-last-week/ […]

  2. window repair

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/the-slayed-and-played-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.