SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THIGH HIGH BOOTS NI SNEAKERS MPYA 2016
Fashion Cop

THIGH HIGH BOOTS NI SNEAKERS MPYA 2016 

Thigh High Boots Are New Sneakers, kwanini tuna sema hivyo kwa sasa Thigh High boots zina trend mno na zina kuwa styled namna tofauti tofauti. zinavaliwa popote na kwa msimu wowote si kama zamani ambapo zilikua zina valiwa kipindi cha baridi tu. Kizuri zaidi ni jinsi walivyo vi modify kwamba hawaweki vitambaa vizito hii ina fanya uwe na uwezo wa kuvi vaa bila kukereka na joto hata kipindi cha msimu wa joto.

Jinsi ambavyo watu mbali mbali wame style thigh high boots na wewe una weza kuiga ama kupata idea

Style rahisi na casual ya kuvaa thigh high boots ni kwa kuvalia viatu hivi na skin jeans kama Tiwa Sawage au kuvalia na short pant kama kylie jenner, kizuri kuhusu thigh boots una weza kuvaa a very short pant lakini isionekane ume vaa fupi sana kwa sababu utakuwa ume pewa back up na urefu wa boot

13561995_902088663234747_1730372090_n

Tiwa Sawage

13724731_1621130198177443_915262541_n

Kylie Jenner

una weza kuvaa thigh boots na short dress, ila hapa una takiwa kuwa muangalifu na jinsi unavyo ivaa hii outfit jaribu kuwa minimum as u can ili usije kuonekana au kuhisiwa vibaya na watu watakao kuona

Candice-Swanepoel--2015-Victorias-Secret-Fashion-Show-After-Party--08-662x996

Kim-Kardashian--Revolve-Social-Club-Event--11-662x927

kama ambavyo unaona juu hawaja valia na makoro koro mengi sana sana Kim ame jaribu kuvaa na choker ya jeans

Unaweza kustyle thigh high boots zako na min-skirt ina weza ikawa leather min – skirt au yoyote ina tegemea na how good your kwenye ku style

13277798_1732328646982030_97716139_n

kwa sasa kuvaa thigh high boots na over sized t-shirt au shirt ndio ipo katika trend kila mtu ana vaa huko majuu tumeona wengi hasa the Kardashian lakini pia Rihanna, Karueche na wengine kibao wame vaa style hii

Karrueche-Tran-in-Mini-Dress--05-662x993

Karruache Tran Rihanna--out-in-London-03-662x993

Rihanna

Lakini pia una weza uka dress up in sexy way na thigh high boots kama Ciara, we loved this look on her ame pendeza mno

rs_634x1024-160822100026-634-ciara-hampton-fashion-police

Related posts

4 Comments

  1. important site

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/thigh-high-boots-ni-sneakers-mpya-2016/ […]

  2. 1 million dollar chocolate bar

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/thigh-high-boots-ni-sneakers-mpya-2016/ […]

  3. ด่วน!!! แจกเครดิตฟรี 100 ไม่ต้องฝาก ไม่ต้องแชร์

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/thigh-high-boots-ni-sneakers-mpya-2016/ […]

  4. สล็อตเว็บตรงไม่ผ่านเอเย่นต์

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/thigh-high-boots-ni-sneakers-mpya-2016/ […]

Leave a Reply