SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TREND- SPORT TRACK
Fashion Cop

TREND- SPORT TRACK 

Wana sema expect any thing when it comes to fashion, nani ange fikiri hizi adidas sport track zinge rudi kuwa kwenye trend miaka hii? ime kuwa muda mrefu hii trend ime kufa watu wakawa wana tumia hizi tracks wakati wa kufanyia mazoezi ( well that is what they are  made for) , miaka ya 1980 zili valiwa sana lakini zikiwa na kitambaa flani kama plastic ukitembea una sikia mlio wa chwaa chwaaa (lol) tume kumbuka mbali kipindi hicho zilikuwa zina valiwa sana na wana muziki wa hip hop ect.

Lakini zime rudi katika kitambaa kingine na katika style nyingine na hawa ni baadhi ya fashion bloggers walio vutiwa na trend hii

khloe Kardashian

Kim Kardashian

Stella Uzo wa J adore she be cooling like that

 

kama unayo uliiweka tu kabati ni muda wako sasa wa kuitinga

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

8 Comments

 1. พนันบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 2. mm88

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 3. the liberty cap

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 4. Liberty Caps Mushroom

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 5. Cambodian Magic Mushrooms with bitcoin

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 6. 무선단말기

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

 7. Automated Test software

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/trend-sport-track/ […]

Leave a Reply